1 Sam. 15:9 SUV

9 Lakini Sauli na watu wake wakamwacha Agagi hai, na katika kondoo walio wazuri, na ng’ombe, na vinono, na wana-kondoo, na cho chote kilicho chema, wala hawakukubali kuwaangamiza; bali cho chote kilichokuwa kibaya na kibovu, ndicho walichokiangamiza kabisa.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 15

Mtazamo 1 Sam. 15:9 katika mazingira