1 Sam. 16:11 SUV

11 Kisha Samweli akamwambia Yese, Watoto wako wote wapo hapa? Naye akasema, Amesalia mdogo wao, na tazama, anawachunga kondoo. Basi Samweli akamwambia Yese, Tuma watu, wamlete; kwa sababu hatutaketi hata atakapokuja huku.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 16

Mtazamo 1 Sam. 16:11 katika mazingira