33 Sauli akamwambia Daudi, Huwezi wewe kumwendea Mfilisti huyu upigane naye; maana wewe u kijana tu; na huyu ni mtu wa vita tangu ujana wake.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 17
Mtazamo 1 Sam. 17:33 katika mazingira