1 Sam. 17:4 SUV

4 Ndipo akatoka shujaa katika kambi ya Wafilisti, aliyeitwa Goliathi, wa Gathi, ambaye urefu wake ulikuwa mikono sita na shibiri moja.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 17

Mtazamo 1 Sam. 17:4 katika mazingira