1 Sam. 17:48 SUV

48 Ikawa, hapo Mfilisti alipojiinua, akaenda akamkaribia Daudi, ndipo Daudi naye akapiga mbio, akalikimbilia jeshi ili akutane na yule Mfilisti.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 17

Mtazamo 1 Sam. 17:48 katika mazingira