1 Sam. 17:51 SUV

51 Ndipo Daudi akapiga mbio, akasimama juu ya Mfilisti, akautwaa upanga wake, akaufuta alani mwake, akamwua, akamkata kichwa kwa upanga huo. Nao Wafilisti walipoona ya kuwa shujaa wao amekufa, wakakimbia.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 17

Mtazamo 1 Sam. 17:51 katika mazingira