1 Sam. 17:55 SUV

55 Basi Sauli, hapo alipomwona Daudi akitoka ili kumwendea yule Mfilisti, alimwambia Abneri, jemadari wa jeshi, Je! Abneri, kijana huyu ni mwana wa nani? Abneri akamjibu, Ee mfalme, kama iishivyo roho yako, mimi siwezi kusema.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 17

Mtazamo 1 Sam. 17:55 katika mazingira