1 Sam. 18:1 SUV

1 Ikawa Daudi alipokwisha kusema na Sauli, roho ya Yonathani, ikaambatana na roho ya Daudi, Yonathani akampenda kama roho yake mwenyewe.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 18

Mtazamo 1 Sam. 18:1 katika mazingira