1 Sam. 18:21 SUV

21 Naye Sauli akasema moyoni, Mimi nitamwoza huyu, awe mtego kwake, tena kwamba mkono wa Wafilisti uwe juu yake. Basi Sauli akamwambia Daudi mara ya pili, Leo utakuwa mkwe wangu.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 18

Mtazamo 1 Sam. 18:21 katika mazingira