1 Sam. 18:23 SUV

23 Nao watumishi wa Sauli wakanena maneno hayo masikioni mwa Daudi. Daudi akasema, Je! Ninyi mwaona kuwa ni shani mimi kuwa mkwewe mfalme, nami ni maskini, tena sina cheo?

Kusoma sura kamili 1 Sam. 18

Mtazamo 1 Sam. 18:23 katika mazingira