1 Sam. 18:25 SUV

25 Naye Sauli akasema, Mwambieni Daudi hivi, Mfalme hataki mahari yo yote, ila anataka govi mia za Wafilisti, ili ajilipize kisasi adui za mfalme. Basi Sauli alidhani kumwangamiza Daudi kwa mkono wa Wafilisti.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 18

Mtazamo 1 Sam. 18:25 katika mazingira