1 Sam. 18:8 SUV

8 Basi Sauli akaghadhibika sana, na maneno haya yakamchukiza; akasema, Wamempa Daudi makumi elfu, na mimi wamenipa elfu tu; kuna nini tena awezayo kupata, isipokuwa ni ufalme?

Kusoma sura kamili 1 Sam. 18

Mtazamo 1 Sam. 18:8 katika mazingira