1 Sam. 19:10 SUV

10 Sauli akajaribu kumpiga Daudi hata ukutani kwa mkuki wake, ila yeye akaponyoka kutoka mbele ya Sauli, nao huo mkuki akaupiga ukutani; naye Daudi akakimbia, akaokoka usiku ule.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 19

Mtazamo 1 Sam. 19:10 katika mazingira