1 Sam. 2:14 SUV

14 naye huutia kwa nguvu humo chunguni, au birikani, au sufuriani, au chomboni; nyama yote iliyoinuliwa kwa huo uma kuhani huichukua mwenyewe. Ndivyo walivyofanya huko Shilo kwa Waisraeli wote waliokuja huko.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 2

Mtazamo 1 Sam. 2:14 katika mazingira