1 Sam. 2:20 SUV

20 Naye Eli akambariki Elkana na mkewe, akasema, BWANA na akupe uzao kwa mwanamke huyu, badala ya azimo aliloazimiwa BWANA. Kisha wakaenda nyumbani kwao.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 2

Mtazamo 1 Sam. 2:20 katika mazingira