1 Sam. 2:22 SUV

22 Basi Eli alikuwa mzee sana; naye alisikia habari za mambo yote ambayo wanawe waliwatenda Waisraeli; na jinsi walivyolala na wanawake waliokuwa wakitumika mlangoni pa hema ya kukutania.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 2

Mtazamo 1 Sam. 2:22 katika mazingira