1 Sam. 2:33 SUV

33 Tena mtu wa kwako, ambaye sitamtenga na madhabahu yangu, atakuwa mtu wa kukupofusha macho, na kukuhuzunisha moyo; tena wazao wote wa nyumba yako watakufa wapatapo kuwa watu wazima.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 2

Mtazamo 1 Sam. 2:33 katika mazingira