1 Sam. 20:17 SUV

17 Naye Yonathani akamwapisha Daudi mara ya pili, kwa ajili ya upendo aliokuwa nao kwake; kwa maana alimpenda kama alivyoipenda roho yake mwenyewe.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 20

Mtazamo 1 Sam. 20:17 katika mazingira