1 Sam. 20:29 SUV

29 akasema, Tafadhali nipe ruhusa niende; kwa maana jamaa yetu wana dhabihu mjini mwetu; na ndugu yangu ameniamuru niende; basi sasa, kama nimeona kibali machoni pako, nakuomba, niondoke; nikawatazame ndugu zangu. Ndiyo sababu hakuja mezani pa mfalme.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 20

Mtazamo 1 Sam. 20:29 katika mazingira