1 Sam. 20:31 SUV

31 Maana wakati mwana wa Yese akiwa hai juu ya nchi, wewe hutafanikiwa, wala ufalme wako. Basi, sasa peleka, ukamlete kwangu, maana hakika yake atakufa huyu.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 20

Mtazamo 1 Sam. 20:31 katika mazingira