1 Sam. 20:8 SUV

8 Basi, unitendee mema mimi mtumishi wako; kwa sababu umenitia mimi mtumishi wako katika agano la BWANA pamoja nawe, lakini ikiwa mna uovu moyoni mwangu, uniue wewe mwenyewe; kwa nini kunileta kwa baba yako?

Kusoma sura kamili 1 Sam. 20

Mtazamo 1 Sam. 20:8 katika mazingira