1 Sam. 22:15 SUV

15 Je! Mimi nimeanza leo tu kumwuliza Mungu kwa ajili yake? Hasha! Mfalme asinidhanie mimi, mtumishi wake neno hili, Wala jamaa yote ya baba yangu, kwa maana mimi, mtumishi wako siyajui hayo yote, yaliyopungua au yaliyozidi.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 22

Mtazamo 1 Sam. 22:15 katika mazingira