1 Sam. 22:20 SUV

20 Na katika wana wa Ahimeleki, mwana wa Ahitubu, akaokoka mtu mmoja tu, aliyeitwa jina lake Abiathari, akamkimbilia Daudi.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 22

Mtazamo 1 Sam. 22:20 katika mazingira