1 Sam. 22:5 SUV

5 Kisha nabii Gadi akamwambia Daudi, Usikae hapa ngomeni; ondoka, ukaende mpaka nchi ya Yuda. Ndipo Daudi akaondoka, akaenda zake, akakaa katika msitu wa Herethi.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 22

Mtazamo 1 Sam. 22:5 katika mazingira