9 Ndipo akajibu Doegi, Mwedomi, aliyesimama karibu na watumishi wa Sauli, akasema, Mimi nalimwona mwana wa Yese akienda Nobu, kwa Ahimeleki, mwana wa Ahitubu.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 22
Mtazamo 1 Sam. 22:9 katika mazingira