1 Sam. 23:14 SUV

14 Basi Daudi alikuwa akikaa nyikani ngomeni, akakaa katika nchi ya milima milima kwenye nyika ya Zifu. Naye Sauli alikuwa akimtafuta kila siku, lakini Mungu hakumtia mikononi mwake.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 23

Mtazamo 1 Sam. 23:14 katika mazingira