1 Sam. 23:19 SUV

19 Ndipo wale Wazifi wakakwea kwa Sauli huko Gibea, wakasema, Je! Yule Daudi hakujificha kwetu ngomeni mwa Horeshi, kilimani pa Hakila upande wa kusini wa Yeshimoni?

Kusoma sura kamili 1 Sam. 23

Mtazamo 1 Sam. 23:19 katika mazingira