1 Sam. 23:7 SUV

7 Kisha Sauli aliambiwa ya kwamba Daudi amefika Keila. Sauli akasema, Mungu amemtia mkononi mwangu; kwa maana amefungwa ndani, kwa vile alivyoingia katika mji wenye malango na makomeo.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 23

Mtazamo 1 Sam. 23:7 katika mazingira