1 Sam. 24:10 SUV

10 Tazama, leo hivi macho yako yameona jinsi BWANA alivyokutia mikononi mwangu pangoni, na watu wengine wakaniambia nikuue; lakini nikakuacha; nikasema, Sitaki kuunyosha mkono wangu juu ya bwana wangu; kwa maana yeye ni masihi wa BWANA.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 24

Mtazamo 1 Sam. 24:10 katika mazingira