1 Sam. 24:21 SUV

21 Basi sasa, uniapie kwa BWANA, ya kwamba hutawakatilia mbali wazao wangu baada yangu, wala hutaliharibu jina langu katika mbari ya baba yangu.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 24

Mtazamo 1 Sam. 24:21 katika mazingira