1 Sam. 24:3 SUV

3 Akafika penye mazizi ya kondoo kando ya njia, na huko kulikuwa na pango; Sauli akaingia ndani ili kuifunika miguu. Na Daudi na watu wake walikuwa wakikaa mle pangoni ndani sana.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 24

Mtazamo 1 Sam. 24:3 katika mazingira