1 Sam. 25:18 SUV

18 Ndipo Abigaili akafanya haraka, akatwaa mikate mia mbili, na viriba viwili vya divai, na kondoo watano waliofanyizwa tayari, na vipimo vitano vya bisi, na vishada mia vya zabibu, na mikate ya tini mia mbili; akavipakia vitu hivi juu ya punda.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 25

Mtazamo 1 Sam. 25:18 katika mazingira