1 Sam. 25:2 SUV

2 Na huko Maoni kulikuwa na mtu mmoja, ambaye alikuwa na mali yake katika Karmeli; naye yule mtu alikuwa mkuu sana, mwenye kondoo elfu tatu na mbuzi elfu; naye alikuwa akiwakata manyoya kondoo zake huko Karmeli.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 25

Mtazamo 1 Sam. 25:2 katika mazingira