1 Sam. 25:29 SUV

29 Na hata ijapokuwa binadamu angeinuka akuwinde, na kuitafuta nafsi yako, hiyo nafsi ya bwana wangu itafungwa katika furushi ya uhai pamoja na BWANA, Mungu wako; na nafsi za adui zako ndizo atakazozitupa nje, kama kutoka kati ya teo.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 25

Mtazamo 1 Sam. 25:29 katika mazingira