1 Sam. 25:40 SUV

40 Na hao watumishi wa Daudi walipomjia huyo Abigaili huko Karmeli, walimwambia, wakasema, Daudi ametutuma kwako ili tukutwae uwe mkewe.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 25

Mtazamo 1 Sam. 25:40 katika mazingira