1 Sam. 26:21 SUV

21 Ndipo Sauli akasema, Nimekosa; rudi, Daudi, mwanangu; maana sitakudhuru tena, kwa kuwa maisha yangu yalikuwa na thamani machoni pako leo; angalia, nimetenda upumbavu, nimekosa sana.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 26

Mtazamo 1 Sam. 26:21 katika mazingira