1 Sam. 26:23 SUV

23 Naye BWANA atamlipa kila mtu haki yake, na uaminifu wake; maana BWANA amekutia mikononi mwangu leo, nami nalikataa kuunyosha mkono wangu juu ya masihi wa BWANA.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 26

Mtazamo 1 Sam. 26:23 katika mazingira