1 Sam. 27:9 SUV

9 Tena Daudi akaipiga nchi hiyo, asimhifadhi hai mume wala mke, akateka nyara kondoo, na ng’ombe, na punda, na ngamia na mavazi; kisha akarejea na kufika kwa Akishi.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 27

Mtazamo 1 Sam. 27:9 katika mazingira