1 Sam. 28:14 SUV

14 Naye akamwuliza, Ni mfano wa nini? Akajibu, Ni mzee anazuka; naye amefunikwa vazi. Basi Sauli akatambua ya kwamba ndiye Samweli mwenyewe, akainama uso wake mpaka nchi, akasujudia.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 28

Mtazamo 1 Sam. 28:14 katika mazingira