1 Sam. 28:7 SUV

7 Ndipo Sauli akawaambia watumishi wake, Nitafutieni mwanamke mwenye pepo wa utambuzi, nipate kumwendea na kuuliza kwake. Watumishi wake wakamwambia, Tazama, yuko mwanamke mwenye pepo wa utambuzi huko Endori.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 28

Mtazamo 1 Sam. 28:7 katika mazingira