2 Nao mashehe wa Wafilisti wakapita mbele, mia kwa mia, na elfu kwa elfu; naye Daudi na watu wake wakapita wa mwisho pamoja na Akishi.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 29
Mtazamo 1 Sam. 29:2 katika mazingira