1 Sam. 29:6 SUV

6 Ndipo Akishi akamwita Daudi, akamwambia, Aishivyo BWANA, wewe umekuwa mwenye adili, tena kutoka kwako na kuingia kwako pamoja nami katika jeshi ni kwema machoni pangu; kwa sababu mimi sikuona uovu ndani yako tangu siku ile uliponijia hata leo; walakini hao wakuu hawakuridhii.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 29

Mtazamo 1 Sam. 29:6 katika mazingira