1 Sam. 30:13 SUV

13 Ndipo Daudi akamwuliza, Wewe u mtu wa nani; nawe umetoka wapi? Naye akasema, Mimi ni kijana wa Misri, mtumwa wa Mwamaleki mmoja; bwana wangu aliniacha, kwa sababu tangu siku hizi tatu nalishikwa na ugonjwa.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 30

Mtazamo 1 Sam. 30:13 katika mazingira