1 Sam. 30:15 SUV

15 Daudi akamwambia, Je! Wewe utaniongoza chini hata nilifikilie jeshi hilo? Naye akasema, Uniapie kwa Mungu, ya kwamba hutaniua, wala kunitia mikononi mwa huyo bwana wangu, nami nitakuongoza chini hata kulifikilia jeshi hilo.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 30

Mtazamo 1 Sam. 30:15 katika mazingira