1 Sam. 30:17 SUV

17 Naye Daudi akawapiga tangu ukungu wa jioni hata jioni ya siku ya pili; hakuna aliyeokoka, ila vijana mia nne waliopanda ngamia na kukimbia.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 30

Mtazamo 1 Sam. 30:17 katika mazingira