26 Basi Daudi alipofika Siklagi, aliwapelekea wazee wa Yuda, rafiki zake, sehemu ya nyara, akasema, Angalieni, zawadi yenu katika nyara za adui za BWANA;
Kusoma sura kamili 1 Sam. 30
Mtazamo 1 Sam. 30:26 katika mazingira