1 Sam. 30:7 SUV

7 Kisha Daudi akamwambia Abiathari, kuhani, mwana wa Ahimeleki, Tafadhali niletee hapa hiyo naivera. Naye Abiathari akamletea Daudi naivera huko.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 30

Mtazamo 1 Sam. 30:7 katika mazingira