1 Sam. 31:7 SUV

7 Kisha watu wa Israeli waliokuwa upande wa pili wa bonde lile, na ng’ambo ya Yordani, walipoona ya kuwa watu wa Israeli wamekimbia, na ya kuwa Sauli na wanawe wamekufa, wakaiacha miji yao, wakakimbia; nao Wafilisti wakaenda wakakaa humo.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 31

Mtazamo 1 Sam. 31:7 katika mazingira