1 Sam. 4:10 SUV

10 Wafilisti wakapigana nao, Israeli wakapigwa, wakakimbia kila mtu hemani kwake; wakauawa watu wengi sana; maana katika Israeli walianguka watu thelathini elfu wenye kwenda vitani kwa miguu.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 4

Mtazamo 1 Sam. 4:10 katika mazingira