1 Sam. 4:13 SUV

13 Alipofika, tazama, Eli alikuwa ameketi kitini pake kando ya njia, akingojea; maana moyo wake ulitetemeka kwa ajili ya sanduku la Mungu. Na yule mtu alipoingia mjini, akatoa habari, mji wote ukalia.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 4

Mtazamo 1 Sam. 4:13 katika mazingira